Natafuta mchumba

Mimi ni binti wa miaka 26 elimu yangu ni masters nimeajiliwa serikalini sina mtoto. nahitaji mume kuanzia miaka 30-35. Awe mkristo mwenyehofu na mungu, elimu kuanzia degree na kuendelea, mrefu mweusi asiwe na mtoto. Karibuni.
vigezo ninavyo tatizo umri
 
Mitihani kama ungekuwa mtihani mm tayar nmeshafaulu,, lakn tatizo naogopa hyo id yako naweza kudhani nmekuoa kumbe nmeoa mitihani
 
Last edited by a moderator:
Samahani kwa kuingilia post ya ms mitihani,ila mm nina shida kma ya kwake kwa kua wengi watakua wanapita humu bac atakaekua na interest anipm.
Mimi ni mwanaume niko na 29yrs nimeajiriwa serikalini.Natafuta mchumba umri haijalishi ila asizid 28 dini muislam kwa mkristo mwenye uwezo wa kubadili dini pia atakubalika .Elimu awe ni mwalimu kuanzia grade A na kuendelea na au awe mjasiriamali mwenye kujituma na kujitambua.
Nawasilisha
 
Mitihani kama ungekuwa mtihani mm tayar nmeshafaulu,, lakn tatizo naogopa hyo id yako naweza kudhani nmekuoa kumbe nmeoa mitihani

Unaweza kukuta jina malaika lakini akawa shetani. Usiangalie sana nje.
 
Last edited by a moderator:
ufafanuzi tafadhari...
Nimwambie au ninyamaze? Nimechanganyikiwa

Started by Mitihani, 24th April 2014 10:40


unaweza nisaidia ''mdogo wako'' anamiaka mingapi??
Mwambie, assuming mdogo wake aliolewa akiwa na miaka 18 na ukiongeza 12 ya kwenye game hivyo mpaka sasa mdogo wake ana miaka 30 hivyo ukiweka child spacing ya 3 years mleta uzi ana miaka 33.. Vinginevyo mdogo wake aliolewa akiwa na miaka 14 kwa shinikizo la wazazi hivyo ukiongeza 12 years kwenye ndoa unapata mdogo wake ana miaka 26 na hivyo basi wao ni mapacha ila yeye alitangulia kidogo
 
afu tupo ofisi moja,hunitaki japo nimekuimbisha. sasa nimejua upo single
 
ufafanuzi tafadhari...
Nimwambie au ninyamaze? Nimechanganyikiwa

Started by Mitihani, 24th April 2014 10:40


unaweza nisaidia ''mdogo wako'' anamiaka mingapi??
Tufanye mdogo wake ana miaka 25.
Hivyo 25-12=11, hii ina maana mdogo wake aliolewa akiwa na umri wa miaka 11, kwa hiyo hata shule ya msingi mdogo wa mtu hakumaliza wakati dada yake anasema ana Masters. Mmmmhhhh hili changa la macho.
 
Napata mashaka juu ya post za kutafuta wapenzi/wachumba. Kuna post zipo humu karibia mwaka sasa! Inamaana bado tu hamjawapata hao wenza mnaowatafuta? Kama mlishawapata why hamtupi feedback na why hamzifuti hizo post zenu zilizopitwa na wakati? Au hamtosheki na mmoja? Toeni/futeni post zenu basi na sisi tuweke zetu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…