Natafuta mchumba

Mitihani

Senior Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
158
Reaction score
46
Mimi ni binti wa miaka 26 elimu yangu ni masters nimeajiliwa serikalini sina mtoto. Nahitaji mume kuanzia miaka 28 - 35. Awe mkristo mwenyehofu na mungu, kabila lolote, rangi yoyote, elimu kuanzia degree na kuendelea, mrefu asiwe na mtoto.
Karibuni.
 
Mimi ni binti wa miaka 26 elimu yangu ni masters nimeajiliwa serikalini sina mtoto. nahitaji mume kuanzia miaka 30-35. Awe mkristo mwenyehofu na mungu, elimu kuanzia degree na kuendelea, mrefu mweusi asiwe na mtoto. Karibuni.

ufafanuzi tafadhari...
[h=3]Nimwambie au ninyamaze? Nimechanganyikiwa[/h] Started by Mitihani, 24th April 2014 10:40

unaweza nisaidia ''mdogo wako'' anamiaka mingapi??
 
Uwe makini mama maana watajitokeza wengi
 
hata mwenye ukimwi uko tayari nae nikuunganishe?maana hujalizungumzia hilo
 
Yaani imebidi nicheke my dear mi mwenyewe naona hiki ni kituko. Miaka isiyozidi 2 na si chini ya mwaka

sawa mamy nimeuliza hivi nikiwa na maana kuwa huyu mchumba unahitaji kumtunza na kumvumilia ili awe mume .... nikiwaza pia ungetumia gia ya urafiki ili upate mda mzuri wa kumsoma mtu... nisamehe kwa kuingilia mipangilio yako ila ni mawazo yangu tu
 
Nashukuru sana ndo nafunguka hivyo. Ni kweli muda wahitajika kujuana zaidi. Asante kwa ushauri.
 
Mitihani Kweli, Hv Umeshndwa Kufanya Uchaguz Mpaka Umeaply? Pole Dada Kwel Umekosa, Loo Jamaniii, Hadi Unatafuta Wa Kwenye Mitandao!!! Au Umewamaliza? Nakutania, NtakuPM
 
Mimi ni binti wa miaka 26 elimu yangu ni masters nimeajiliwa serikalini sina mtoto. nahitaji mume kuanzia miaka 30-35. Awe mkristo mwenyehofu na mungu, elimu kuanzia degree na kuendelea, mrefu mweusi asiwe na mtoto. Karibuni.

Navigezo vyote kasoro kimoja tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…