Natafuta mchumba

Nakuona we mjanja (msela) wa mjini
 
Dogo mtafute mtu anayeitwa faiza fox humu humu JF atakufaa
 
Mimi kwa jina naitwa Idd Kilele umri wangu ni miaka 24 naishi Kimara Dar es salaam awe anajua kusoma na kuandika na awe ana mapenzi ya kweli ivo 2 Kwa mawasiliano zaidi 0766935145

maskin utapata hata pm moja mdogo wangu? pole kaza buti wenda kuna vibonge type zako.
 
Mkuu ulichokosea ungepiga picha ndani ya Gari hata kama Gari bovu niamini mimi ungewazoa
 
Mdogo wangu.....tafuta kwanza pesa......alafu hizo chupi zitakuja zenyewe.....kwa kuwa pesa ndio ulimbo wao.....
 
Kijana idd kazua balaa.....kijana idd kazua mikosi......yupo kama kapandwa na kichaa.....anahitaji kurekebishwa.....JUMA NATURE
 
huwez pata mtu jf na atayejitokeza hutotoman kumuona mara ya pil
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…