Natafuta mchumba

Baba day

Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
5
Reaction score
1
Mimi kwa jina naitwa Idd Kilele umri wangu ni miaka 24 naishi Kimara Dar es salaam awe anajua kusoma na kuandika na awe ana mapenzi ya kweli ivo 2
Kwa mawasiliano zaidi
0766935145
 

Attachments

  • 1416598480130.jpg
    114.2 KB · Views: 590
  • 1416598535815.jpg
    63.3 KB · Views: 522
Dogo huwezi kuzeveza huko kitaa?
 
we tongoza tongoza tu huko mtaani utapata, kimara mbona vibinti vya saizi yako vipo vini tu? inakuwaje uje ambako huwajui, huwaoni na majina wanatumia ya bandia eeeh haya labda jaribu utapata.
 
Mbona uliachana na mama day??

Huku huwa hawaweki picha bro....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…