Natafuta mchumba


nyege mbaya sana.you boy at this age? ebu kwanza kua
 
Bora uoe utulie, utakuja amua utafte kahaba ili kuondoa hamu utaambulia ukimwi mdogo wangu.
UTOTO MWISHO MIAKA 18
 
Kuoa kunataka experience, at 23 back ila kma anataka mwanamke wa kukaa naye atampata

Hii ya leo kali aisee.
Kumbe kama hauna experience ya kuoa hauwezi ukao!?
Na hiyo experience ya kuoa unaipataje kabla ya kuoa!
 
Mnh uko mbali aisee ningekua cougar wako lol,ila japhet ukweli tukuambie usioe kupata msimamizi wengine watakuja kukufilisi hizo mali kutokana na kutokosa uzoefu afu usijiweke kny public kuwa una mali watakujia mashangingi ya kuplan hizo mali zifilisike au ni nshomile maana wale kwa majigambo ndio wenyewe lol
 
at least 25/6 na kuendelea, but 23 jamani bado ananuka maziwa kabisaaa.. nikinuna na yeye ananuna.

Mtazamo wako huu kwa hakika umeujenga kutokana na fikra mgando zenye kushinikizwa na usasa au Utanzania uliokosa maarifa...

Mwanaume anayejielewa na aliyejijenga ama kujengwa kifikra, kiuchumi na kielimu (japo si muhimu sana) na mwenye kufikia umri wa kisheria kuweza kushiriki tendo la ndoa...mwanaume huyu yu tayari kuweza kuoa na kutunza familia.

Wakati leo hii unataja umri wa miaka 25/26 kuwa sahihi, miongo michache iliyopita mwanaume wa umri huo alikuwa na familia kubwa tu bomani.

Ukiacha hilo, katika nchi zilizoendelea mwanaume wa umri huu wa miaka 23 unaouona ni mdogo kwa mtazamo wako, anahesabika kama ni mpevu wa kuweza kuwa na familia.

Hivyo suala la umri sahihi wa kuoa ni suala mtambuka, halizingatii matakwa ya mtu au kikundi fulani cha watu pekee.

Ni jambo ambalo linahitaji utayari, na pia utimizwaji wa mambo yale niliyoyabainisha pale juu..
 
mbona unatoka povu mkuu??? soma previous posts

mnahoji umri badala ya kuchangamkia dili..
Dogo zimemjaa kwenye kinena na anaona shida kutongoza kila siku..
 
Kila mtu cku iz anaoa anaoa n km fashion vile ila ingia xaxa kweny iyo ndoa eeeh mbona utakiona cha moto tena mke mwenyew unamtafuta humu ndan haya kaka kila la heri
 

nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri mkuu.. au na wewe utakua early 20's ndo mana povu linakutoka. 23 kwa mwanaume bado ni mtoto kiumri na kiakili
 


Unataka mke au mhasibu ??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…