Babaubaya
Member
- Oct 21, 2014
- 42
- 6
Ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37,natafuta girlfriend ambaye atakua mchumba na baadaye mke wa ndoa,awe na umri kati ya 26-35 asiwe kibonge wala mfupi saana,mkristo lakini kabila na rangi wala elimu so tatizo.Alietayari aniandikie hapahapa na kuweka simu yake nami nitampigia