Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Naitaji saport yako mkuu nielekeze

Anza hivi kwa ufupi.
1. Jinsia ya unaemtaka ili ijulikane wewe ni wa jinsia gani.
2. Sifa za unaemtaka,mfano elimu,,kazi,uzuri,kabila,umbile,unaweza kusema mrefu au mfupi au mnene au modo,utakavyotaka,rangi ya ngozi mf maji ya kunde,mweupe au mweusi.
3. Sifa zako mwenyewe.
4. Makazi yako na anwani.
5. Mawasiliano yako unapatkanaje,utoe email,simu nk.
 
unafundisha shule gani mkuu? Umemuelekeza vizuri!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom