jofrey nzyungu
Member
- Jul 14, 2014
- 7
- 1
jaman wana jf mm ni kijana wa miaka 24 n mwanafunz wa chuo flan mbeya nahitaj sana kuwa na mchumba lkn nimekuwa muoga sana kutongoza nahisi kama ntaonekana nadanganya
jaman wana jf mm ni kijana wa miaka 24 n mwanafunz wa chuo flan mbeya nahitaj sana kuwa na mchumba lkn nimekuwa muoga sana kutongoza nahisi kama ntaonekana nadanganya[/QUOTE
Hongera kijana mdogo kam wewe unashindwa kumtongoza hata binti anayekuosha nywele ukienda kinyoa saluni maana hao ni pesa yako wala huitaji kuanza ahadi feki za kuoa
katongoze watoto watakuamini....
Msaidieni kijana anapata tabu ili angalau aondoe nuksi na aache kupiga puchu