Natafuta mchumba

Kwani ujana wako ulikula na nani hadi utafute mtu wa kula naye uzee humu ndani!
 
Kwa umri huo ungegombea ubunge kupitia reptiles party kwanza utaona watajileta wenyewe
 
Mwenzetu ana shida kaja hapa kutafuta mwenza,vp muponde? Wangapi mtaani wanaoana wakiwa na miaka zaidi ya 4o?.,kama haikuhusu piga kimya....
 
kwa age hiyo,unatakiwa uweke mahusiano yako kamili kwamba uliwai kuolewa au kuoa
kama ndio waume&wake wangapi na mchumba unayemtaka awe na age gani,ni hayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…