Natafuta mchumba

Kizaz cha mulugo shida kweli. Dogo acha nyege zako hizo. Ww bado mtoto sana huiwez kuhimili mikiki ya mapenzi utaishia kulia tu. Ww unataka true love wenzako wanasambaratisha kwa pesa
 
Hahah,mchumba unatafuta kama unatafuta mbuzi,duh
 
Shule yenyewe hujamaliz halafu unatafuta mchumba.
Dogo vipi mbona kama unadata mapema?.Au balehe changa inakusumbua.
 
Aaaah Bwamdogo piga kitabu kwanza tena kwa bidii na uaminifu wote.
Wanawake wapo tu na hawaishi.Na ukifika umri sahihi Piga tu,(PT) kwani hakunaga tena hiyo true love.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…