Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

samwely1

Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
12
Reaction score
3
Nimemaliza chuo mwaka huu na nimeshapata kazi tayari.

Naomba dada mwenye umri wa chini ya miaka 25 aliyetayari kuolewa na anajijuwa ni mzuri awasiliane nami kupitia chandesamwely@gmail.com
 
Nimemaliza chuo mwaka huu na nimeshapata kazi tayari. naomba dada mwenye umri wa chini ya miaka 25 aliyetayari kuolewa na anajijuwa ni mzuri awasiliane nami kupitia chandesamwely@gmail.com

umeona wake ni sox?unakuja jf na kuwachagua kama vile umewah kuumba hata kidole?wife materials huwezi kumpata hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom