Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Kabila la wachagga ukoo wa shirima...

Nalifanyia kazi kwa karibu sana wazo lako. Japo huku magharibi wakisikia mtu kaoa mchaga wanamuonea huruma sana. Ila mm natafuta Mke wangu iyo ni changamoto ndogo
 
na sijui akipata kifafa akiwa naye atafanyaje!

Nikiwa nae nakomaa ila sio nikifuate nakiona kileeeee.... kiapo cha kanisani kitanifunga km ni hali imejitokeza baada ya ndoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom