Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

nkungwe123

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
444
Reaction score
95
Jamani Mimi katika kuoa kabila na ukoo vinahusika sana. Nisaidieni wana jf; ni kabila gani zuri kutafuta Mke? Sifa zao jeee? (Nzuri na mbaya).
 
zunguka mikoa yote bara na visiwani kwa uchunguzi zaidi nadhani hyo research itakupa majibu mazuri sana kuliko sisi.
 
Jamani Mimi katika kuoa kabila na ukoo vinahusika sana. Nisaidieni wana jf; ni kabila gani zuri kutafuta Mke? Sifa zao jeee? (Nzuri na mbaya).

Lazima tujue kabila lako kwanza maana kuna kabila nyingine zinaelewana nyingine hazielewani.
Wewe ni kabila gani?
 
Wazungu mnasaidiana kulea na kupiga!
 
Oa mtu ana jielewa,aliye na muono wa mbele na zaidi ya yote aliye na hofu ya Mungu.
Sijui ni kabila gani,labda tu nikushauri uangalie katika kabila la Yuda.
 
Oa mtu ana jielewa,aliye na muono wa mbele na zaidi ya yote aliye na hofu ya Mungu.
Sijui ni kabila gani,labda tu nikushauri uangalie katika kabila la Yuda.

Anaweza kua anajielewa na ana hofu ya Mungu ila ukoo wao wana kifafa. Inakuaje hapo?
 
zunguka mikoa yote bara na visiwani kwa uchunguzi zaidi nadhani hyo research itakupa majibu mazuri sana kuliko sisi.

J Lee binadamu tunaishi kwa kutegemeana na kusaidiana. Let us share knowledge
 
Mzazi wako wa kike kama unaweza kumshirikisha anaweza kujua mke bora kwako, kabila, mkoa sio situ chakuangalia sana
 
Kabila la wachagga ukoo wa shirima...
 
muha? hmmm!

ndo kule kulikoungua shoka mpini ukabaki ama? .. joke meen!

mkuu in no time tutakuwepo huko kununua mawese kulaleki!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom