Natafuta Mchumba

Natafuta Mchumba

Entertainer

Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
14
Reaction score
0
Ni Kijana Mrefu Kiasi, Mwenye umbo la kuvutia lililojengwa ni Gym Kidogo mwenye mapenzi ya Kweli 0762575887
 
nadhani ni mchumba.. si mchuma! lugha ya zamani sana hiyo mkuu!

nakumbuka taarabu fulani hivi waliimba.. '' achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo!!''

nilikuwa mduchu sana enzi hizo!
 
jamaa anambinu za mwaka 47,unatafta dem wa kujitolea jf,..domo zege au domo chuma
 
Hivi kumbe kunyanyua vyiuma na kujazia pia nisifa tosha za mapenzi ya kweli?
 
Mi hata cjakuelewa.unatafuta mchuma yani gari au unatafuta mchumba?naomba nijibiwe ili niweze kuchangia
 
Ni Kijana Mref Kiasi, Mwenye Umbo La Kuvutia Lililojengwa Ni Gym Kidogo Mwenye Mapenzi Ya Kweli 0762575887

unatafuta mchuma wa ukubwa gani?!,si kwetu yapo ya kila size...pia hlo umbo la kuvutia,!mh?????!. embu tupia picha
 
mimi nahisi chuma chake kimepotea ndio maana anatafuta kingine...
shemeji yangu anacho cha kilo 200 ntakufanyia mpango wa kukuombea then ntakupm maana body inaweza ikaalibika..
 
ha!ha!haa kijana mwenye umbo la kuvutia unatafuta mchuma haya utaupata PM jitahidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom