Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Joined
Aug 3, 2013
Posts
28
Reaction score
3
Nina miaka 23, niko mwaka wa kwanza wa stashahada ya ualimu, natafuta mchumba mwenye umri chini ya miaka 22 ambaye hajali uwezo na kipato cha mtu.
Sibagui rangi ya ngozi whether albino or not, muhimu, awe na mapenzi ya dhati na anayejali na pia awe na uamzi wa hakika na siyo kuchezea akili zangu.
Elimu yake iwe kidato cha nne kushuka chini. Dini awe mkristo au mwislamu aliyetayari kubadili dini.
Aliye tayari anitumie namba zake au email kupitia PM tuwasiliane.
 
Piga shule kwanza dogo! Acha mawazo hayo ya uzinzi.
 
Nina miaka 23, niko mwaka wa kwanza wa stashahada ya ualimu, natafuta mchumba mwenye umri chini ya miaka 22 ambaye hajali uwezo na kipato cha mtu.
Sibagui rangi ya ngozi whether albino or not, muhimu, awe na mapenzi ya dhati na anayejali na pia awe na uamzi wa hakika na siyo kuchezea akili zangu.
Elimu yake iwe kidato cha nne kushuka chini. Dini awe mkristo au mwislamu aliyetayari kubadili dini.
Aliye tayari anitumie namba zake au email kupitia PM tuwasiliane.

Umri huu ndio wengi tulitupotezaga maboya na damage yake imetugharimu sana kuistablerise.

Wekeza nguvu na akili zako zote kwenye masomo achana na hiyo biashara. Utakuja kuikumbuka post hii miaka michache ijayo. Wewe bado ni kula kulala ni nani alikudanganya kuna mwanamke asiyehitaji pesa? Tena za mwanaume ndio zinanoga zaidi.
 
Ivi hii jf watu wanaichukuliaje? Mbona sielewielewi?
 
Umri na elimu vimenikosesha mchumba mweh!
 
mhhhh.dogo bumu linakuchanganya nin??hebu piga shule kwanza tengeneza GPA nzuri .hayo mamba mengine yapo tu ukijichanganya uta pata ma sup na madisco mpaka akili ikae sawa...kitabu ndo kilakitu haya mambo yapo na yatakuwepo tuu..
 
Soma ndugu yangu, watakuja tu ni sawa na maji kufuata mkondo wake.
 
Maliza shule dogo wanachanganya usijaribu kabla ujaweka mambo sawa
 
tafuta hela dogo la sivyo utagongewa kila cku.Hayo mapenzi unayoyataka hayapo
 
Nina miaka 23, niko mwaka wa kwanza wa stashahada ya ualimu, natafuta mchumba mwenye umri chini ya miaka 22 ambaye hajali uwezo na kipato cha mtu.
Sibagui rangi ya ngozi whether albino or not, muhimu, awe na mapenzi ya dhati na anayejali na pia awe na uamzi wa hakika na siyo kuchezea akili zangu.
Elimu yake iwe kidato cha nne kushuka chini. Dini awe mkristo au mwislamu aliyetayari kubadili dini.
Aliye tayari anitumie namba zake au email kupitia PM tuwasiliane.

Ethics za ualimu hairuhu kutafuta mchumba mitandaoni. Understand? Usichafue haiba ya ualimu.

Now look at yourdrawbacks "Elimu yake iwe kidato cha nne kushuka chini". Binti aliyechini ya kidato cha nne ni aidha std seven leaver au ambaye hajaenda shule kabisa. Unaweza kumpata std 7 leaver au gumbaru kupitia JF au fb? Wengi waliopo JF ni kuanzia advance diploma hadi PhD, ni dhahiri hutawamudi kwa kastashada. Piga shule kwanza angalu ukamate kadegree kamoja ndo uanze kuwaza haya makitu.
 
Nina miaka 23, niko mwaka wa kwanza wa stashahada ya ualimu, natafuta mchumba mwenye umri chini ya miaka 22 ambaye hajali uwezo na kipato cha mtu.
Sibagui rangi ya ngozi whether albino or not, muhimu, awe na mapenzi ya dhati na anayejali na pia awe na uamzi wa hakika na siyo kuchezea akili zangu.
Elimu yake iwe kidato cha nne kushuka chini. Dini awe mkristo au mwislamu aliyetayari kubadili dini.
Aliye tayari anitumie namba zake au email kupitia PM tuwasiliane.

Me sitafuti M-CHUMBA natafuta M-SEBULE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom