For Those required my Photos. They are all automatically disqulified! kama ulitaja picha usitarajie jibu please!!
tupo,mmh dada wapo ngoja waje...jaribu kucheck nao j3
tupo,
tunaitafakari sredi..!mdogo mdogo😀
Mkono mtupu haulambwi.Asante kwa mwanzilishi wa JF.
For Those required my Photos. They are all automatically disqulified! kama ulitaja picha usitarajie jibu please!!
Kwa hiyo unataka kuwauzia watu mbuzi kwenye gunia??
Hey wanajamii.
Mimi ni msichana mwenye Umri wa miaka 28.
Mhasibu katika shirika moja lisilo la kiserikali hapa Tanzania.
mshahara sio mkubwa sana lakini unakidhi mahitaji yangu.
ninaishi sinza Madukani.
Ninaona umri unazidi kuyoyoma lakini bado sijampata wangu wa maisha.
who ever is ready for a serious relationshi please PM me.
Repply to only seroius Guyz!
Wasfu:
1. awe Mkristu
2.asiwe mnywa pombe.
3. If employed or not I dont care!

weeeeee! akugeukie harafu umfanye nini? anatafuta mchumba, hatafuti wa kuangalia mgongo!!!! ndiyo nyie nyieeeeNiPM picha yako hasa ukiwa umeonyesha maeneo ya Mgongo!
sina imani na wewe, kama ndiyo unae onekana katika profile yako, hata hivyo safari njema dadaHey wanajamii.
Mimi ni msichana mwenye Umri wa miaka 28.
Mhasibu katika shirika moja lisilo la kiserikali hapa Tanzania.
mshahara sio mkubwa sana lakini unakidhi mahitaji yangu.
ninaishi sinza Madukani.
Ninaona umri unazidi kuyoyoma lakini bado sijampata wangu wa maisha.
who ever is ready for a serious relationshi please PM me.
Repply to only seroius Guyz!
Wasfu:
1. awe Mkristu
2.asiwe mnywa pombe.
3. If employed or not I dont care!
Thanks alot! I think The applications are enough now! please let me read the 104 private massages first. Wakuu aplications zimetosha! Asanteni sana. For those who have Sent me PMs Expect your repplies in two weeks time. Asanteni sana jamani.
Nimepata applications nyingi. Actually among these applications I have one guy who is actually more than serious!! Asante kwa mwanzilishi wa JF.
weeeeee! akugeukie harafu umfanye nini? anatafuta mchumba, hatafuti wa kuangalia mgongo!!!! ndiyo nyie nyieeee