Sasa babangu, hapo chuo na hata kanisani unaposali umekosa kabisa kabisa mdada mwenye sifa hizi? Umeshindwa hata kufukuzia first year ukampata?
Kaunga, nakubaliana na wewe kabisa. Vijana wanashindwaje kutafuta wachumba tena chuoni? Mi najua nikienda chuo tu napata kama ni mchumba, kidumu, buzi you name it lol. Hata na uzee huu haijalishi!
hii inaitwa blind mtongozo, acha dogo ajiachie, huko kote hajaona now kafumba macho amekujakupiga ana ana do..!!!!!!
Mmh akili yangu huwa hainiruhusu kuamini hizi scenarios. Mchumba wa pm? Haya bwana ngoja nisogelee menopause kwa taratibu.
Mmh akili yangu huwa hainiruhusu kuamini hizi scenarios. Mchumba wa pm? Haya bwana ngoja nisogelee menopause kwa taratibu.
inawezekana wakawepo ila wale wenye inferior quality na walio kata tamaa ya kutongozwa
Wewe kijana, umri wako miaka 25 na unataka mchumba kuanzia miaka 19 hadi 28; ina maana uko tayari kumpokea wa miaka 26, 27 na 28. Inashangaza na wakati huo huo kupendeza, endelea na malengo yako!!!
Sasa babangu, hapo chuo na hata kanisani unaposali umekosa kabisa kabisa mdada mwenye sifa hizi? Umeshindwa hata kufukuzia first year ukampata?
Kaunga, nakubaliana na wewe kabisa. Vijana wanashindwaje kutafuta wachumba tena chuoni? Mi najua nikienda chuo tu napata kama ni mchumba, kidumu, buzi you name it lol. Hata na uzee huu haijalishi!
ehehehehhehehhhehe sipati picha hao wajukuu watakavokuwa kama mabibi wenyewe ndo tutakuwa mimi na wewe!I think nitamsaidia mwanangu kutafuta mchumba, maana nimekuonea huruma jinsi ulivyo serious; kiasi kwamba nimeona umuhimu wa mila za zamani.
snowhite, nitumie picha za binti zako nianze kumuintroduce kiddushka kwa summer holiday Sikonge kijijini KIKUNGU.
Cc😡kongosho, King'asti, Ablessed, Dark City etl.