Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,815
- 55,596
Nina umri wa miaka 35
umri umekwenda lol.
Sina vigezo wala masharti,
Ili mradi anapumua
Asanteni,
Nina umri wa miaka 35
Jinsia yako ni ME au KE?
Nafurah kuona JF inakuwa na wanachama wanaongezeka, ila mi nautamani uzamani wetu lol
Nakuelewa Michelle, nimeshasikia kauli kama hiyo mara nyingi tu. Na kwa baadhi nimejaribu kuwapa moyo warudi tu na kuchangia kama ilivyokuwa siku za nyuma. Huwaona wakichungulia na kisha kusepa. Najua majukumu yako ni mengi mno lakini kuchungulia hapa hata kwa saa moja kwa siku, kama muda unaruhusu, inatosha
kabisa.
umri umekwenda lol.
Duuuuuuh ulikua wapi wakati wote huo...watu washafunga mahesabu zamaaani...!Nina umri wa miaka 35
Age is just a number
Nina umri wa miaka 35