Sina vigezo wala masharti,
Ili mradi anapumua
Asanteni,
Sina vigezo wala masharti,
Ili mradi anapumua
Asanteni,
Habari ya wewe dada, vipi kuhusu Justine? umeshapata habari zake?
Jinsia yako ni ME au KE?Sina vigezo wala masharti,
Ili mradi anapumua
Asanteni,
Justin kumbe ameoa sina jinsi,am moving on
Sina vigezo wala masharti,
Ili mradi anapumua
Asanteni,
Mhhhhh! are you serious!? Unatafuta mchumba halafu huna hata vigezo ali mradi tu anapumua!!!!! unajipenda kweli weye au unafanya utani!?
Justin gani tena?
manake haya majina!
nina babu yangu anatafuta wa kumfia kiunoni atakufaa sana.
Karibu kwangu, pumzi ipo
Just line up for heaven sake BAK, unapumua inatosha, yeye ndo ataamua katika wale wanaopumua amchague nani?
Kwa namna alivyondika watajitokeza wachache sana,na itakuwa rahisi kwake kufanya uamuzi....!! :lalala:
Haya Michelle ππ nimefurahi kukuona jamvini baada ya kupotea kwa kipindi kirefuuuu ....Michango yako ya kina inakosekana.
Nafurahi kukuona hapa pia,nilimiss michango na mijadala hapa JF na nashukuru hapa ni nyumbani,unaweza rudi tu wakati ukiruhusu.
Justin kumbe ameoa sina jinsi,am moving on
Nina umri wa miaka 35Sina vigezo wala masharti,
Ili mradi anapumua
Asanteni,