Natafuta mchumba

huo mtego ni ngumu sana kuruka kipipi, yaani unagonga mzigo, unamtafutia na passport feki, siku ya siku unaenda kumwacha airport... so crude eeh
mmmh hii kalii na wamelizwa wengi kweli yaan!

we mtoa mada hapo sokoine unafanya nini embu funguka vizurii!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom