Natafuta mchumba

Natafuta mchumba ambae, anaye elewa maisha mvumilivu kwa kila Hali, mwenye hofu ya Mungu, mchapakazi ili tukiwa pamoja tujenge si sio kuvurugana.

Umri wake 25-29

Nipo Kilimanjaro Moshi mjini,

Nichek pm tuongee vizuri
Angalia tu usiibe demu wangu kijana
 
Hamna wanawake huko au unaogopa kuuawa
Msiw mnakariri kila kitu... Sio ukweli kuwa wanawake wakichaga Wana uwa waume zao sio kweli kabisa... Bibi na babu yangu wamezeeka pamoja ni wachaga wote
 
Kila la heri mkuu.
Mwenyezi Mungu akutangulie ukafanikiwe kupata mke si mchumba.
Hivi To yeye Mme huyu huku
 
We jamaaa unafeli sana totoz za majengo, chuo Cha ushirika plus mwenge umekosa kbs.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…