mchizzy Member Jun 27, 2023 31 19 Jul 6, 2023 #1 Awe mwembamba au wa kawaida sawa mweusi mweupe sawa awe simple tuu, miaka kuanzia 18 Hadi 22
fundi bishoo JF-Expert Member Jun 26, 2018 13,378 23,449 Jul 6, 2023 #2 Tuma buku 5 y udalali nkupe dadaangu
mchizzy Member Jun 27, 2023 31 19 Jul 6, 2023 Thread starter #4 Serious natafuta mchumbaa so Kama kweli uko na dada na Yuko tayari na anasifa Kama nilizo taja bas niko tayari mda wowote
Serious natafuta mchumbaa so Kama kweli uko na dada na Yuko tayari na anasifa Kama nilizo taja bas niko tayari mda wowote
Uwa zuri Senior Member Feb 24, 2023 104 176 Jul 8, 2023 #5 Kila la kheri,ukapate hitaji la moyo wako 😊
mchizzy Member Jun 27, 2023 31 19 Jul 8, 2023 Thread starter #6 Uwa zuri said: Kila la kheri,ukapate hitaji la moyo wako Click to expand... amein naamin itakuwa
father-xmas JF-Expert Member Mar 23, 2010 835 643 Jul 22, 2023 #8 mchizzy said: ety ya udalali naijua iyoo Click to expand... Mtoto wa kiume unaandika "ety". Vivijana vya siku hizi vinafanana kila kitu na dada zao kuanzia mavazi,kuwaza,kuongea,kutembea,kujipodoa mpaka kuandika. Mungu awasaidie sana
mchizzy said: ety ya udalali naijua iyoo Click to expand... Mtoto wa kiume unaandika "ety". Vivijana vya siku hizi vinafanana kila kitu na dada zao kuanzia mavazi,kuwaza,kuongea,kutembea,kujipodoa mpaka kuandika. Mungu awasaidie sana
mchizzy Member Jun 27, 2023 31 19 Jul 22, 2023 Thread starter #9 father-xmas said: Mtoto wa kiume unaandika "ety". Vivijana vya siku hizi vinafanana kila kitu na dada zao kuanzia mavazi,kuwaza,kuongea,kutembea,kujipodoa mpaka kuandika. Mungu awasaidie sana Click to expand... Amein
father-xmas said: Mtoto wa kiume unaandika "ety". Vivijana vya siku hizi vinafanana kila kitu na dada zao kuanzia mavazi,kuwaza,kuongea,kutembea,kujipodoa mpaka kuandika. Mungu awasaidie sana Click to expand... Amein