Applicant JF-Expert Member Joined Feb 12, 2020 Posts 1,962 Reaction score 1,757 Jul 22, 2021 #1 Awe nurse au Mwalimu. Mimi ni kijana mwanaume, nataka nipate mwenza wa maisha, awe na sifa hizo hapo juu, mimi ni mfanyabiashara, na kipatoa changu kinaridhisha. Mnakaribishwa DM. Zingatia kichwa cha habari. Dini Mkristo. Umri wowote.
Awe nurse au Mwalimu. Mimi ni kijana mwanaume, nataka nipate mwenza wa maisha, awe na sifa hizo hapo juu, mimi ni mfanyabiashara, na kipatoa changu kinaridhisha. Mnakaribishwa DM. Zingatia kichwa cha habari. Dini Mkristo. Umri wowote.
Mnyatiaji JF-Expert Member Joined Dec 13, 2018 Posts 3,765 Reaction score 4,870 Jul 22, 2021 #2 Safari njema
kedekede JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 5,336 Reaction score 7,750 Jul 22, 2021 #3 Mitaani sampuli hiyo hawapo mkuu?
Applicant JF-Expert Member Joined Feb 12, 2020 Posts 1,962 Reaction score 1,757 Jul 25, 2021 Thread starter #4 kedekede said: Mitaani sampuli hiyo hawapo mkuu? Click to expand... Wote wameolewa
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 42,055 Reaction score 122,629 Jul 25, 2021 #5 Naona umelenga sehemu nzuri sana. Ukifanikiwa tu kumuoa, unamshawishi akakope benki faster ili uongezee mtaji kwenye biashara yako. Then maisha yanaendelea.
Naona umelenga sehemu nzuri sana. Ukifanikiwa tu kumuoa, unamshawishi akakope benki faster ili uongezee mtaji kwenye biashara yako. Then maisha yanaendelea.
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 10,106 Reaction score 8,227 Jul 26, 2021 #6 Mungu akupe haja ya moyo wako.
Applicant JF-Expert Member Joined Feb 12, 2020 Posts 1,962 Reaction score 1,757 Jul 27, 2021 Thread starter #7 Tate Mkuu said: Naona umelenga sehemu nzuri sana. Ukifanikiwa tu kumuoa, unamshawishi akakope benki faster ili uongezee mtaji kwenye biashara yako. Then maisha yanaendelea. Click to expand... Hata hayo sio mawazo mabaya, lakini mimi sijawazia hilo kabisa
Tate Mkuu said: Naona umelenga sehemu nzuri sana. Ukifanikiwa tu kumuoa, unamshawishi akakope benki faster ili uongezee mtaji kwenye biashara yako. Then maisha yanaendelea. Click to expand... Hata hayo sio mawazo mabaya, lakini mimi sijawazia hilo kabisa
Applicant JF-Expert Member Joined Feb 12, 2020 Posts 1,962 Reaction score 1,757 Jul 27, 2021 Thread starter #8 Superb2014 said: Mungu akupe haja ya moyo wako. Click to expand... Thanks
King Loto JF-Expert Member Joined Nov 28, 2018 Posts 1,757 Reaction score 1,541 Jul 27, 2021 #9 Biashara 😂😂😂 wewe uko wapi kibiashara boss, hawa maboss lady wanataka secured income.
Mkalimani wa Bibi JF-Expert Member Joined Sep 6, 2017 Posts 801 Reaction score 3,143 Jul 27, 2021 #10 Uhhh mkuu!!, kwa Nurse unapigwaa... Kila lakheri
Applicant JF-Expert Member Joined Feb 12, 2020 Posts 1,962 Reaction score 1,757 Jul 30, 2021 Thread starter #11 King Loto said: Biashara wewe uko wapi kibiashara boss, hawa maboss lady wanataka secured income. Click to expand... Kwasababu hatujuani, ongea utakachoona kitakufurahisha
King Loto said: Biashara wewe uko wapi kibiashara boss, hawa maboss lady wanataka secured income. Click to expand... Kwasababu hatujuani, ongea utakachoona kitakufurahisha
Applicant JF-Expert Member Joined Feb 12, 2020 Posts 1,962 Reaction score 1,757 Jul 30, 2021 Thread starter #12 Mkalimani wa Bibi said: Uhhh mkuu!!, kwa Nurse unapigwaa... Kila lakheri Click to expand... Kwanini
Alexander The Great JF-Expert Member Joined Aug 28, 2018 Posts 4,514 Reaction score 23,700 Jul 30, 2021 #13 Hii sasa ni interview ya kazi, sio kutafuta mahusiano ya mapenzi.
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,664 Reaction score 61,089 Jul 30, 2021 #14 secretary POMPEO said: Kwanini Click to expand... ondoa vikwazo kwa Iran kwanza