Natafuta mchumba.....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba.....!

Discussion in 'Love Connect' started by Emasaku, Oct 7, 2011.

 1. Emasaku

  Emasaku Member

  #1
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habarini wana JF, mimi ni kijana mwenye miaka 28, baada ya kuwa mpweke kwa muda mrefu atimaye nimeona bora nitafute mchumba jamani! Sifa zangu nitaelezea kidogo tu, ni mrefu, maji ya kunde na handsome kiasi chake!
  Vigezo muhimu vya msichana,
  1. Awe na elimu ya secondary na kusomea course yeyote au awe na diploma/degree!
  2. Awe mkweli na mcha mungu, awe single!
  3. Kisura awe mweupe/maji ya kunde, mrefu kiasi, mnene kiyasi
  4. Asiwe mtu wa night club, awe mtu wakujituma na mpenda maendeleo!

  Nipo serious Jamani sitanie!!!!
   
 2. s

  soledad Member

  #2
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  inaonekana nowdays watu kupata watu wenye sifa wanazotaka imekuwa ngumu ndo maana wanatoa sehemu kama hii! Ndo nyingi watu waolewa na kuoa basi tu cuz drem men/women wao hawajawapata but muda umefika
   
 3. s

  soledad Member

  #3
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  <br><br>

  inaonekana nowdays&nbsp; watu kupata watu wenye sifa wanazotaka imekuwa ngumu ndo maana&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp; wanatoa sehemu kama hii! Ndo nyingi&nbsp;&nbsp; watu waolewa na kuoa&nbsp; basi tu cuz dream men/women wao hawajawapata but muda umefika
   
 4. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kha!! night club ndo nn??? je kama anaenda morning club!
   
 5. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  acha bange za kwenye jua kali, mwenzako yupo serious. Kama umekolea na sifa zake mpm bathi!
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kila la heri. Mwenyezi mungu akufanyie wepesi katika hitaji lako.
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Na mimi niliyekuzidi umri naruhusiwa?
   
 8. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Ukimpata na ww usije ukamtia mimba fasta fasta kama yule mwenze2 hapa ..........
   
 9. peri

  peri JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kila la kheri
  Nakuusia kigezo cha UCHAMUNGU ukipe nafasi ya juu zaidi kuliko viingine
  .
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hahaha!! Eti bange za jua kali
   
 11. Emasaku

  Emasaku Member

  #11
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwani umenizidi kwa miaka mingapi? Hebu weka sifa zako, i may consinder you!
   
 12. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #12
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  nGOJEA NIKUSHAURI MWAYEGO! mtu asikudanganye.. Vigezo ulivyovitoa sivipingi ila havifai sana kwa leo.. Anaweza kuwa na sifa zote hizo ila asiwe wa kukufaa wewe. na mimi nakushauri usitafute mchumba, wewe tafuta mke, na mke mwema Hutoka kwa mwenyezi Mungu. Hivyo wasikilize viongozi wako wa dini na watakupa mwongozo mzuri. nasema hivi kwa sababu mambo ya mapenzi graduation yake ni kitandani. na ndoa hujengwa au hubomolewa na siri za kitandani. unaweza kukuta kweli anazo sifa zote lakini kumbe nanii yake pana sana, ukidumbukiza yako you dont feel frictions, kama umedumbukiza kwenye mfuko wa salfet, unaweza kumwazia kwamba may be mwenzi wako alikuwa kahaba wa kutupa thats why wamemtanua sana nanii yake kumbe ni maumbo tu, kwa wengine yanafaa, au unaweza kukuta ni kavu sana(jangwa) hadi umiminie korie tele kama lubricant. kila baada ya shughuli mashuka yanafuliwa, taabu hiyo unadhani utaiweza, hao wanafaaa wale ambao hata kabla ya kuanza wameshatema automatic" lubricant'. au utakuta mwenzako ni kama tundu la sindano. yaani mpaka ipenetrate umeswet si kawaida, unatamani kufungia miguu ukutani, halafu wa hivyo huwa pia waoga sana, mara zote anabanabana miguu kwa hofu. mwingine utakuta kitu yake unatoa foma kwelikweli. ukiwa kazini makelele over mtu anafua nguo, kisha anakulowesha na mara zote unasaka kitambaa unapunguza mimaji na unaendelea. adha hiyo utaipenda? hiyo inafaa wale wenye mashine kavu kabisa. wengine pale unapoanza tu anatema ukwapa kwa sana. sasa wewe utawezea wapi ugomvi huo? BORA AMPATE MTEMaKWAPA MWENZAKE WATAENDANA. huo kidogo ni upande wa kinadada, kwa kinakaka ndo usiseme, kuna wenye papara, wakurupukaji wao ni kumwagilia na kutimka, kuna wenye nanii fupi kama sm3, wengine ndefuuuuu, wengine nyembambaa kisha imekula kona, wengeni kinu(Fupi nene) WENGINE NDOANO, YAANI AKIPENYEZA NCHA YA RUNGU LAKE NI NGUMU HIVYO MMAMA ANAHISI KUKOKOTOLEWA NDANI.. NAKWAMBIA MKIFUNGA NDOA NA MKE AKAGUNDUA WEWE UKO HIVYO UGOMVI USIO NA SABABU KILA DAY ILI USIMNANIHII. UNAJUA WHAT MA FRIEND, WAKATI WA UCHUMBA au urafiki ukimwonja mtu wala hana muda wa kuwazia ubaya wako, kama ni mdada yeye anawaza kuolewa tu. na baada ya ndoa ndipo anapoanza kuexperience love. na anagundua kumbe huyu mbaba ni hovyo. kuanzia wakati huo atakuwa akikukwepa maisha yake yote. hapo ndipo unapoanza kusaka small house na maisha kuwa magumu zaidi.. pole.. nakushauri usimguse mwanamke kabla ya ndoa.. Mungu atakupangia wa kufanana na wewe.
   
 13. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kazana utawapata tu na sio kumpata
   
 14. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu ukipata urud hapa jamvin utueleze utakayokumbana nayo.
   
 15. Emasaku

  Emasaku Member

  #15
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Asante sana kwa ushauri wako mkubwa!!! Nimekubali wewe ni great thinker!!!
   
 16. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #16
  Oct 8, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  you"re welcome
   
 17. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  wengi nimewapa ushauri wa kwenda kwenye mahostel hasa mabibo udsm ifm au za saut mwanza utarudi unachekelea.tena wenye misifa zaid ya hizo ulizotaja.
   
 18. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kazi kwel kwel...hivi huwa wanajitokeza kwel ? Au ni kama kuandika review ovi store
   
 19. M

  Mkomaly Member

  #19
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ol the best bt uwe makini kaka....najua watajitokeza wengi sana usisahau kumwomba Mungu coz ndo mpaji
   
 20. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  wataku pm tu mkuu kaa mkao wa kula
   
Loading...