VentureCapitalist
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 403
- 546
Awe na makucha marefu
inategemea isiwe chura ya mchina!Mwenye chura atapewa kipaumbele!
kuna balaa gani huko?Nenda Love Connect hutajuta kaka
tatizo la jf watoto wakike wachache!Ngoja kwenye sifa zao waje mana wengine ni wa kiume
ahahaha umenikumbusha mkuu juzi kati nilikutana na demu club alikuwa na bonge la wigi alafu anajiona mzuri kinyama kumbe hana kitu !
Wapo viumbe unaowatafuta ila sijui vigezo vyao utaviweza....bila gari,nyumba,kazi nzuri,hupati mtun
kuna balaa gani huko?
wa hivyo nawaweza sema na wao wawe na nyumba na gari na kazi nzuri pia ili kuwe na usawa !Wapo viumbe unaowatafuta ila sijui vigezo vyao utaviweza....bila gari,nyumba,kazi nzuri,hupati mtu
Kumbe wapenda chura ni wengi![emoji16][emoji16][emoji16]inategemea isiwe chura ya mchina!
ha ha ha jamanih
wa hivyo nawaweza sema na wao wawe na nyumba na gari na kazi nzuri pia ili kuwe na usawa !