Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Kusanya zako hela mkuu..jenga li ghetto lako nunua li usafir la ukweli kama ni kiu tafuta ya kupiga ipite hiv.
hawa wanawakee wanateesa akili,tena hawa wa kutafuta online achana nao kabisa.Nina umri kama wako kwa sasa nimeshapitia mengi in short najuta sababu nimerudishwa nyuma kimaendeleo.
ulipitia bonde la ufa ndo maana mwache mwenzio kajaaliwa njia tambarale.

akijenga nyumba ndo aoe kwa aolewae ni housegrl?
akinunua gari aolewae ni dereva?

waweza kusanya vyoote hivo kimbembe mke.
ukimpata dereva km gari halina mafuta nae hayupo
ukimpata housgrl km hamna mshahara nae hayupo

nini tabu saasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom