Habari wana JamiiForums,
Leo nimeamua kujitokeza kwenu kutafuta mchumba wa kiume (mume). Mwanaume nimtakaye ni awe na miaka kuanzia 30 mpaka 35 awe anaishi mkoani Kilimanjaro au Arusha, awe Muislam. Mimi naishi mkoani Kilimanjaro na nina mtoto mmoja wa kiume.
ASANTE