Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

mwanairinga

Senior Member
Joined
Dec 21, 2015
Posts
179
Reaction score
12
Habari wana jf,
Mimi ni kijana wa kiume naishi dar nimeajiriwa na taasisi ndogo ya fedha dar,natafuta mchumba ambaye yupo serious mwenye vigezo vifutavyo
1.awe mkisto
2.awe mrefu wastani na mnene wa kati rangi mweusi
3.awe tayari kwenda kupima HIV
 
Mleta mada ukifanikisha mpango wako usitusahau kutualika tuje kula ubwabwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom