Natafuta mchumba

najua kuwa wako watakaotukana na hawakosekani pia watakaokashifu hatua hii lakini ndivyo ilivyo,awe she mwenye vidato au college umri 23 - 28

hawa wachumba wa siku hizi bwana wanatafutwa kama vipuri vya magari...
 
najua kuwa wako watakaotukana na hawakosekani pia watakaokashifu hatua hii lakini ndivyo ilivyo,awe she mwenye vidato au college umri 23 - 28

Haya mzee, ngoja nitakutafuta, Mimi ni mnene sana lakini, unapenda wanene??
 
mie siamini humu mtu unaweza pata mchumba,watu wa ku-PM iana hapo sawa..lol:sick:
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom