radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,291 Feb 11, 2015 #1 Mimi ni kijana jinsia ya kiume hahitaj mwenza nimwajiriwa katika taasisi ya kiserikali nafasi ya office attendant mwenza pia aanzie kidato cha nne elimu yake. Nawasilisha.
Mimi ni kijana jinsia ya kiume hahitaj mwenza nimwajiriwa katika taasisi ya kiserikali nafasi ya office attendant mwenza pia aanzie kidato cha nne elimu yake. Nawasilisha.
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,670 Reaction score 167,725 Feb 11, 2015 #2 kila laheri
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,291 Feb 11, 2015 Thread starter #3 Evelyn Salt said: kila laheri Click to expand... nashukuru.
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,039 Feb 11, 2015 #4 aya watakuja
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,291 Feb 11, 2015 Thread starter #5 mwekundu said: aya watakuja Click to expand... nawasubili hapa
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,039 Feb 11, 2015 #6 radika said: nawasubili hapa Click to expand... usiwafanyie usanii tu kwa kuwaonja na kusepa wakati ahadi yako wote tumeisikia
radika said: nawasubili hapa Click to expand... usiwafanyie usanii tu kwa kuwaonja na kusepa wakati ahadi yako wote tumeisikia
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,080 Reaction score 10,436 Feb 11, 2015 #7 Yupo profesa mmoja mwanaharakati mtetezi wa haki za wanawake na yupo single. Nikuunganishie?
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,291 Feb 11, 2015 Thread starter #8 mwekundu said: usiwafanyie usanii tu kwa kuwaonja na kusepa wakati ahadi yako wote tumeisikia Click to expand... hapana mkuu lazima nitimize kwa kile nilicho ahid ili mladi vigezo vipo.
mwekundu said: usiwafanyie usanii tu kwa kuwaonja na kusepa wakati ahadi yako wote tumeisikia Click to expand... hapana mkuu lazima nitimize kwa kile nilicho ahid ili mladi vigezo vipo.
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,291 Feb 11, 2015 Thread starter #9 Rohombaya said: Yupo profesa mmoja mwanaharakati mtetezi wa haki za wanawake na yupo single. Nikuunganishie? Click to expand... tatizo umri hapo mkuu c mzee huyo
Rohombaya said: Yupo profesa mmoja mwanaharakati mtetezi wa haki za wanawake na yupo single. Nikuunganishie? Click to expand... tatizo umri hapo mkuu c mzee huyo