Natafuta mchumba wa kuoa

Natafuta mchumba wa kuoa

T 2015 CDM

Member
Joined
Sep 6, 2012
Posts
39
Reaction score
10
Nimerudi toka shule nilikokuwa nafanya PhD yangu. Nimeamua kutafuta mchumba ambaye atakuwa mke wangu. Napenda awe na umri kuanzia miaka 20 mpaka 35. Kabila lolote. Rangi yoyote. Dini mkristo na Elimu at least bachelor degree.

Niko serious wandugu. Those interested can PM me...
 
mpaka phd huko kote unasoma hujapata mchumba kweli.
 
Nimerudi toka shule nilikokuwa nafanya PhD yangu. Nimeamua kutafuta mchumba ambaye atakuwa mke wangu. Napenda awe na umri kuanzia miaka 20 mpaka 35. Kabila lolote. Rangi yoyote. Dini mkristo na Elimu at least bachelor degree.

Niko serious wandugu. Those interested can PM
me...

Umri wako
 
Umri wako na uko wapi?
 
Yani kote huko ulikopita hukuwahi kuona mtu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom