Natafuta mchumba wa kuoa

Natafuta mchumba wa kuoa

Lilambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
2,523
Reaction score
208
Wadau wa Jukwaa; Niko siriaz kwa hili. Mimi ni kijana wa Kitanzania, Mkiristo, ninatafuta mpenzi atakayekuwa mchumba wangu na kisha mke atakayenipenda kwani niliyekuwa naye aliniacha baada ya kuhitimu chuo. Umri wangu ni miaka 25, mrefu wastani, mweupe kiasi sio mnene wala mwembamba. Katika hili nimedhamiria sio masihara. Atakayekuwa tayari anijibu hapa JF kisha nitampa namba zangu za simu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom