Natafuta mchumba wa kuoa

mdesi

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
1,349
2,087
Mimi ni mwanaume mwenye umri ya miaka 35. Naishi Dar es Salam, ni muajiriwa wa moja ya taasisi ya kiserikali. Natafuta mchumba alie komaa kiakili, hapa namaanisha mwenye muono chanya wa maisha ya familia na hulka za kimaendeleo. Umri min Miaka 18 na max 32.

Akiwa amepata elimu walau kuanzia sekondari au chuo ni vizuri zaidi km hakubahatika kupata elimu, Basi awe na uwezo wa kusimamia miradi tutakayoibuni kuianzisha.
Aliyopo tayari Basi tuonane inbox. Thanks all.
 
Mkuu kwa umri huo wa miaka 35 nakushauri tu nenda katafute mke kijijini kwenu ,ndipo unapowafahamu vzr ndgu na mila na desturi zenu mnafanana huko laa sivyo unatafta majang tu ndgu yangu
Mfano mm n mmeru nakwena kutafta mke umeruni ,hapa mjini ,au kwa mitandao hii ni asilimia ndgo Sana ndgu yangu ,# nenda kijijini kwenu huko yupo mke mzuri tu achana na mtatizo huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hujaona matangazo yamewekwa na mods au members humu Hawajakwambia vigezo vya kuweka haya matangazo 2020 lazima uambatanishe na picha weka picha la sivyo wataufuta Uzi wako na utakosa warembo watakao jitokeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom