Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,000
- 110,412
Kumbe hata kuandika kiswahili haujui....[emoji15] [emoji15] [emoji15]A namaanisha awe na uelewa kama computer jmn .yaanii uelewa wa hali ya juu. Someni kwa umakini hata kiswahili kinawashinda duuh