Natafuta mchumba wa kuoa, ambaye yuko tayari please

ngunhila ng'ombe

Senior Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
115
Reaction score
16
Mimi ni kijana, miaka 27; nimehitimu UDSM education, nasubiria ajira.Nyumbani mwanza, napenda nimpate mchumba anayeishi Mwanza, napendelea awe black beauty, mrefu wastani, asizidi miaka 25: mwenye nia kuwa na familia. Awe na elimu kuanzia Diploma na kuendelea.

Nitashukuru
 
ww sio mzima ww miaka yote usome udsm ukose mchumba aisee
 
Mimi ni kijana, miaka 27; nimehitimu UDSM education, nasubiria ajira.Nyumbani mwanza, napenda nimpate mchumba anayeishi Mwanza, napendelea awe black beauty, mrefu wastani, asizidi miaka 25: mwenye nia kuwa na familia. Awe na elimu kuanzia Diploma na kuendelea.

Nitashukuru

Macho yalikuwa na makengeza, au vipi?
 
Umesoma kwenye chuo kikuu chenye fursa kama kile halafu unakuja kumtafuta mchumba JF? Acha kuzingua watu wewe
 
kumbe ajira siku hizi zinasubiriwa?
Mimi ni kijana, miaka 27; nimehitimu UDSM education, nasubiria ajira.Nyumbani mwanza, napenda nimpate mchumba anayeishi Mwanza, napendelea awe black beauty, mrefu wastani, asizidi miaka 25: mwenye nia kuwa na familia. Awe na elimu kuanzia Diploma na kuendelea.

Nitashukuru
 
Jipange kimaisha kwanza kisha tafuta marafiki kama watatu wa kike of whom mmoja wao unaweza kumpandish a cheo kutoka urafiki hadi Uchumba!
 
Ushauuri kwakuwa huna kazi ili msilishane sumu siku ya mwishoo

ongezea awe na kazi nakutakia kila la kheri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom