Natafuta mchumba wa kunioa, nipo Mbeya

Natafuta mchumba wa kunioa, nipo Mbeya

Watu wa mbeya ni wanauvumilivu, busara ukweli na upole,... Mungu akupe tamanio la moyo wako,
 
Naona sikuhizi ndoa ni kivuli cha kupumzikia ukifeli na ukachoka kukaa kwenu unatafuta mume

Rubiikimimi
Hata me naona mbaya zaidi wanaume wenyewe wa karne hii wasiojitambua hakuna pumziko aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom