Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

By chance

New Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Habari wadau wa JF mimi ni kijana wa kiume wa miaka 30,natafuta mchumba ambaye atakuwa mama watoto wangu,kiwango changu cha elimu ni Degree.
Mchumba/Mwanamke ninae muhitaji awe na sifa zifuatavyo;
1.Mnene wa wastani
2.Awe Muislam

3.Kiwango cha elimu awe na Degree

4.Umri kuanzia miaka 24 hadi 26

5.Awe anajitambua katika kupambana na maisha

6.Mwenye kuthamini pendo

Awe anaishi Dar es salaam ama kama yuko mikoani awe tayari kuhamia Dar

Kwa yoyote ambaye yuko serious anaweza kuni PM
 
Haya mtoto huyoo naingia laini mwenyewe tunataka kusikia kadi za mchango sio bango lingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom