Natafuta mchumba wa kike

waliokoment wengi wanaume yaan hata sielewi, mungu tuepushe na ushoga
 

Mmmh......... Kijana si ridhiki nahisi


🙏🙏🙏🙏
 

Sawa sawa tupe na volume tupate density yako
 
mzaha mwingi wakat mwenzenu niko serious, mtu anathubutu kuniita si riziki wakati huo yy akiwa mario
 

hebu pata kwanza kazi.
 

Hivi ni kitu gani siku hizi, kwanini kutafuta wenza kwa njia za mitandao?? Inamaana huko mnapoishi hakuna wenza au mnatisha kwa tabia zenu hadi mje ktk mitandao kutafuta wenza. Kiukweli nashangazwa sana na watu wa hvi. Nahsi wote mnaotafuta wenza kwenye mitandao mna vitabia flani vibaya ambavyo ktk jamii husika unayoishi inashindikana kupata mwenza. Huogopi kukutana na watu wa ajabu?? Na pengne ata ndugu yako???

Any way, Kila mtu na malengo yake!! Be blessed, Kila la kheri.
 
eee huo urefu wote mass 58kg nafurah kupata watu ambao ni warefu lakin wepes kama mie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…