Natafuta Mchumba wa kike

Natafuta Mchumba wa kike

Prayuth

Member
Joined
May 20, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Wakuu habari!

Najitokeza hapa kutafuta mchumba wa kike ambaye yupo serious tu, awe kanda ya ziwa, akiwa Mwanza itapendeza sana, awe Mwalimu au Nurse, akiwa mwalimu itapendeza zaidi, awe na umri wa miaka kuanzia 20-25.

Mimi elimu yangu ni degree na nipo kazini, nina miaka 27, aliye tayari ni PM.
 
Mkuu ubaguzi huo muwe mnatufikiria na sisi masecretary
 
Mie nipo Mza, lablda nikupe mdogo wangu. Hebu jazia jazia CV yako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom