Hapana aisee nataka mfupi maana wameonewa mno sasa namtafuta mama yeyoWarefu hatutakiwi? Acha ubaguzi
Natafuta mchumba wa kike awe na elimu kuanzia fomu 6,ameokoka,mfupi,mweupe,awe anapatikana dar,awe serious na tayari kupima HIV kiukweli nikimpata nitampenda na kumtunza please kama hauko serious usinitafute pia zingatia vigezo, kwa aliye tayari ani PM.