Najihurumia that's why natafuta msaidizi.
Nina miliki shamba la ukubwa wa hkt 73.
Natarajia by june kupiga 800,000 ea hkx70=?????????
Teh teh teh teh.
Tena nataka anayejua hesabu.
Inamaana hata kupanga mabunda ya noti itakua shida?
We madameX ebu njoo tutengeneze family yenye nguvu kiuchumi.
Tena nataka niongeze shamba lifike heka 200.