natafuta mchumba wa kike wa kiislamu.

mohamed abbubakary

New Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
1
Reaction score
1
Habari,

Mi ni mfanyakazi wa serikali, mwenye shahada ya uzamili ya utawala, umri wa miaka 32, mrefu wa cm 179, maji ya kunde.

Natafuta mwenza wa kike awe na elimu angalau shahada ya kwanza, mfanyakazi na dini ni muislamu,
umri kati ya miaka ya 23 - 30,
awe na tabia njema, yuko tayari kujituma na kushiriakiana, busara na umbo la kawaida, asiwe mnene sana.
awe kuishi Dar es salaam,

kwa aliyekuwa tayari tu naomba tuwasiliane kwa mail mhmdabbkry@gmail.com

ahsanteni..
 
Hauna shida ya mke wewe usituchanganye humu, maeneo yote uliyopita hujawaona mpaka humu jf? Sasa subiri wakutumie picha uchague.
 
Mke awe na maadili sio digrii,wewe unataka digrii rudi chuo,
 
Ungetoa Dini Kama Kigezo, Ila Akubali Kubadili Dini Utakayoitaka
 
Mkuu wahi Nigeria kuna wanawake 10,000 wa Kiislamu wanatafuta waume wa kuwaowa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…