Natafuta mchumba umri mwisho miaka 26

Natafuta mchumba umri mwisho miaka 26

Mullocoz

Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
23
Reaction score
2
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 26 nipo Dar es Salaam natafuta mchumba ambae baadae aje kuwa mke wangu umri usiozid miaka 26. Awe anajitambua, awe tayari kuishi na mume, awe mzur wa sura na umbo pia bila kusahau tabia mzuri.

Mwenye sifa hizo anicheki kwa namba hizo hapo kwa mawasiliano 0712 998696.
 
Kwani huko mtaani ,kanisani, Nyumbani kwenu kijijini kwenu hakuna watu kabisa hadi utafute wa mtandaoni
 
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 26 nipo dsm natafuta mchumba ambae baadae aje kuwa mke wangu umri usiozid miaka 26,awe anajitambua,awe tayar kuishi na mume,awe mzur wa sura na umbo pia bila kusahau tabia mzuri mwenye sifa hizo anichek kwa namba hzo hapo kwa mawasiliano 0712 998696.

Kwa hiyo kigezo muhimu ni uzuri wa sura na umbo la mvuto, kisha sifa inayofuatia ni tabia nzuri, wa aina na sifa hizo wapo wengi hata nje ya JF. Ukitanguliza sifa ya kwanza iwe tabia hapo unahitaji kufanyia kazi zaidi.
 
Miaka 26 ni ya kuku.kwahiyo unataka kuoa kuku?..loading error...
 
Nimependa muhaya wewe ulivyoliremba jina lako...huhuhuu
 
Umekosa wazuri mitaani kwny watu wengi unadhani utapata humu?...jipange kijana
 
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 26 nipo Dar es Salaam natafuta mchumba ambae baadae aje kuwa mke wangu umri usiozid miaka 26. Awe anajitambua, awe tayari kuishi na mume, awe mzur wa sura na umbo pia bila kusahau tabia mzuri.

Mwenye sifa hizo anicheki kwa namba hizo hapo kwa mawasiliano 0712 998696.

kijana wewe unataka uzuri wa sura?umeshawah kuumba hata ukucha?acha kumkufuru mungu.mungu hajaumba kiumbe kibaya.mke nitabia acha utoto.subiri ukue ndio ujetena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom