Natafuta mchumba toka Kenya

Natafuta mchumba toka Kenya

ytara jr

Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
36
Reaction score
1
Mi ni kijana,me-sex toka tz,nna 28,niko na job,inaniingizia 300,000/mnth nalook 4 the true fiancee frm ky,awe a ngalau na qulfctins hz;
-christian.
-fighter.
-black-pure afro.
-elite.
-modern.
-kurya,kisii,not luo.
-age 18-24yrs.
connect wth me via pm,u can add ua pic.
thanx.

attachment.php
 
Attachments

  • Photo0240_001.jpg
    Photo0240_001.jpg
    280.4 KB · Views: 1,504
Naona una hamu ya kupigwa na mwanamke wewe...kila laheri,
 
sisi wote tunamtakia yule manzi wa nairobi...
ukimpata lakini utamsaidishiaje?

ukitaka fighter pengine mtafutie huko nyeri au limuru, nairobi sio pahali pa mafigher wala ni wa wasichana wa"high class". the same woman ukimwona kijijini ni mshamba tu ka wale wengine, but don't mention that! hapo nyeri ndio utaeza kuwapata mawanawake mafighter, mpaka ushtuke kwamba wamekupiga hadi we mwenyewe papapap.
 
jamaa naona dhamira yake cio Fighter yaan Mgomvi ,anamanisha mtafutaji Pesa
 
Namimi natafuta ila awe mwarabu umri ulio tajwa hapo
 
Mi ni kijana,me-sex toka tz,nna 28,niko na job,inaniingizia 300,000/mnth nalook 4 the true fiancee frm ky,awe a ngalau na qulfctins hz;
-christian.
-fighter.
-black-pure afro.
-elite.
-modern.
-kurya,kisii,not luo.
-age 18-24yrs.
connect wth me via pm,u can add ua pic.
thanx.

300,000 kenya shillings or TZ shilings?
 
pole kwa yatakayokukuta ukitandikwa pia uje utuambie maana kila kukicha wanaume wa kenya hulalama kua unyumba hawapewi sasa sijui kama utaridhia hali hii.
 
Umekosa nini mpaka ukachumbie kenya wanawake wazuri wako tz
 
Umekosa nini mpaka ukachumbie kenya wanawake wazuri wako tz

Muacheni jamaa atafute, wivu wenu utawaponza, ana sababu zake za kutafuta mademu wa Kikenya, kwanza hapo ametaja fighters, yaani wagomvi, ama watafutaji.... hizo ni sifa za Kikenya. Mimi namkaribisha Kenya kwa roho safi.
 
Hahaha sawa ila atuletee pia mrejesho baada ya kumpata
 
Kenyan girl would you come take a walk with him...
..oh ati anataka manzi wa Nairobi..
 
Back
Top Bottom