engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
anayehitaji kuolewa na ajitokeze,swala la wapi alipo hilo sio tatizo kwani maisha ni popote pale,haya kina dada,mwenye macho haambiwi tazama
Hapa jamii forum naona pamevamiwa. Kama si vitoto vidogo ambanvo vilikuwa face book basi ni watu wazima wasio na upeo. Mtu kasema mm nipo sweeden. Eti oh tumejua huko sweeden. Oh unajifanya huko sweeden.what is sweeden? Watu wanakwenda kila siku. Ulaya watu wanakwenda kila asub.Na. mtandao unafika huko
.sasa ww kwasababu huna uwezo wa kufika ulaya basi sisi wa ulaya tusitafute wachumba. Mm mods naona huu ni uhuni au kukosa weledi. Furthermore hii ni part ambayo specifically ni ya kutafuta wachumba na marafiki. Kama thread umeona haikuhusu achana nayo. Ukiwa kila thread unapinga tunapoteza umuhimu na objective za forum. Pia hata ww unapoteza resources zako na muda. Kwn hamna kazi zenu? Mods naomba sms yangu uifuatilie na utusaidie kwn waging wamezid.
Ni kweli, mimi nashangaa kwa kweli, nimeandika Sweden watu wanadai ni njia za kizamani, na hata hivyo sijasema natafuta mtu aliyeko Tanzania, la hasha, natafuta aliyeko huku iwe rahisi kwangu kuonana na kujuana na sioni kosa la kutaja Sweden watu waje wanikalie kooni kisa kutaja nchi ya kigeni tu, haijakaa vizuri na huo ni Uswahili wa kupitiliza, kama Sweden watu hawashobokei sasa mbona wanashoboka hata kuambiwa na wanajishuku?
Yani huu utoto wa JF unakera sana.Sijui walitaka asemeje.
Naunga mkono hoja mods wasaidie kupunguza utoto..
cc tedo
Denmark je? au iwe Sweden tu kiongozi?
Hiyo inaitwa nitoke vipi...Dizaini anataka tujue kuwa yupo Sweden..
Anatafuta kick....????
Huhuhu....bongo ndo kila kitu
Haya, tumeshajua kuwa upo Sweden...
Hiyo inaitwa nitoke vipi...Dizaini anataka tujue kuwa yupo Sweden..
unazeeka vibaya aisee, weka picha kama upo kweli sweden
Mkuu hata mimi nilishangaa sana kuona mleta mada anashambuliwa kuhusu mahali alipo, badala ya wachumba kujitokeza. Watu bado wanafikiri ki-stone age sana.Mawazo ya watu wa kishamba sana haya, kuwa Sweden kitu gani kwani?
Mi nipo Syria mkuu !
Nakuhitaji sana njoo PM !