Habari,
Niko Sweden ; na ningependa kupata msichana mstaarabu, mwenye kujitambua na mwenye empathy na maisha, awe hapa Sweden ama karibu tu na Sweden as long as tukiridhiana nitashukuru na pia awe serious na tayari kuonana ama kuzungumza.
Dini si tatizo kwangu, awe mkristo, awe muislam kwangu haina shida!
Salaam,