We kabila gani vile?
mkuu hahitaji hayo mambo yeye anataka uwe na mvuto!
Ndio maana hajaolewa mpaka amezeeka, anasumbuliwa na infiriolity complex, sasa kwenye mapenzi degree inahusikaje? kama mtu ni mwanaume bora na ana Diploma yaani kwake si sahihi! asichokijuwa tu ni kwamba Bill Gates hana degree.Mume mwema hatafutwi kwenye keyboard.
Mtaani kwenu umekosa! Shuleni umekosa! Kazini pia umekosa basi kuna uwezekano mkubwa we ni mbaya sana.
Asee umepotelea wapi?Ndio maana hajaolewa mpaka amezeeka, anasumbuliwa na infiriolity complex, sasa kwenye mapenzi degree inahusikaje? kama mtu ni mwanaume bora na ana Diploma yaani kwake si sahihi! asichokijuwa tu ni kwamba Bill Gates hana degree.
Nilikuwa UK kwa miezi mitatu, sikuwa na muda kabisa wa kukaa na laptop ilikuwa ni mchakamchaka, na hata Blackberry ninayotumia nina access tu ya kuingia lakini kucoment siwezi hata nikilog in lakini JF inakataa comment zangu, bado sijajuwa tatizo la hii simu ni nini.Asee umepotelea wapi?
Mda mrefu sana ndugu yangu.
Ok, nafurahi kukuona tena... Karibu tena jf..Nilikuwa UK kwa miezi mitatu, sikuwa na muda kabisa wa kukaa na laptop ilikuwa ni mchakamchaka, na hata Blackberry ninayotumia nina access tu ya kuingia lakini kucoment siwezi hata nikilog in lakini JF inakataa comment zangu, bado sijajuwa tatizo la hii simu ni nini.
Anyway am in Dar for almost two weeks now, sweet home. Pamo1 sana.
Am in the house,...........Ok, nafurahi kukuona tena... Karibu tena jf..
Namie nakuona umejaa tele... Sasa ntaanza kuchungulia kwenye siasa, manake nilikimbia kwa mda...Am in the house,...........
Asee umepotelea wapi?
Mda mrefu sana ndugu yangu.