Holoholo-Baba Kijacho
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,764
- 13,875
Wakuu, 1. Msichana miaka 18-22 2. Awe mcha Mungu 3. darasa la 7 mwisho 4m4 4. rangi maji ya kunde au mweupe sifa zangu 1. kidato cha nne 2. maji ya kunde 3. mrefu sio mnene sana
Anatapatapa atatulia akikomaa..Hawa uliwaacha wote?Mimi ni kijana wa miaka 23, nipo ktk dilema nime fall in love kwa mabinti wawili,na wote wananipenda sana ila kila mmoja anajua yupo peke yake...
Sifa za kila binti ni hizi hapa
Binti wa kwanza anaitwa Emmy
1.Ni binti mrefu, mnene kiasi, maji ya kunde 2.Ni mnyamwezi
3.Anatokea family ya kifugaji na wakulima wazuri na kiangazi analima bustani
4.Ameishia form two 2021 kutokana na kuchoka kwenda shule 5. Umri miaka 19.
binti wa pili anaitwa WINI
1.Ni binti mrefu mwembamba kiasi na ni mweupe.
2.Ni muha
3.Anatoka family ya wakulima wa kilimo cha kujikimu.
4.Amemaliza form four 2023 na...
- Holoholo-Baba Kijacho
- Replies: 97
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Jf checkHawa uliwaacha wote?Mimi ni kijana wa miaka 23, nipo ktk dilema nime fall in love kwa mabinti wawili,na wote wananipenda sana ila kila mmoja anajua yupo peke yake...