Natafuta mchumba nioe very serious

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
1,002
954
Umri wangu ni miaka 35 nimeajiliwa wizara moja serikalini mwaka wa tatu huu.

Natafuta mchumba wa kumuoa mwenye umri kuanzia miaka 20 mpaka arobaini awe na khofu ya Mungu, msikivu, msafi na mke mwema.

Nitarespond katika maombi yote bila dharau.

Ahsanteni
 
Ukiona wanazingua pitia na hapo mkuu, hautajutia
0844de530635006e0ac52ffc4fd00af2.jpg
 
Naomba u mpm madam boss ana shida kama yako.Madam Boss pliz njoooo huku jamaa ameingia kwenye kikapu chako umetangaza nia naye katangaa ni muda wa kuunganisha miili uwe mmoja.Kila la kheri mkuu kwa madam Boss
 
Mdundo Ngoma Sana,Ngoma ikilia sana vuuuu vuuu ikilia sna vuuu ngoma mwisho hupasuka.Tarehe 4 july mwaka huu ulisema mkeo kajipaka maparachichi usoni na vitunguu swaumu kwenye nywele na kafunga rambo ya elfu moja kichwani ili nywele zirefuke unajuta kumuoa maana hiyo harufu ni balaa.Je unatafuta wa pili,au yule umemuacha?au ametangulia mbele za haki vitunguu swaumu na maparachichi vimemletea marandhi?Au sio wewe?
 
Aa wapi. Mambo kama yale mnajadili chemba bhana!
Idimi you see, kumbe mchumba ana mke tayari
Huko pm angeniingiza kingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom