Natafuta mchumba na awe serious

junaid

Member
Oct 21, 2011
20
0
Mimi ni kijana mwenzenu naitwa junaid, ni kijana mwenye asili ya kiarabu na ninaishi Uk. natafuta mchumba mwenye sifa hizi, hizi sifa ni muhimu sana maana mwanamke wa ndoto yangu nataka awe hivi :
1 ) mrefu
2)Rangi yoyote
3)kabila lolote
4)Dini awe mwislamu au kama ni mkiristo basi awe tayari kuslimu
5)Umbo - Hapa kwenye umbo ni muhimu sana, maana nataka awe juu mwembamba na mwenye maziwa madogo kisha chini awe na mahipsi hasaaa pia na awe na ma_ta_ko, yaani umbo number 8. Wallah nikimpata huyu nitafurahi sana, naamini wapo wengi sana
6)Awe mpole mvumilivu na mwenye heshima zake na aliyetulia.

Nina mpango wa kuja haraka pale atakapojitokeza kuja kuonana na kupanga maisha, kuhusu pa kuishi atachagua yeye kama ulaya ama africa.

Baada ya mawasiliano ya mwanzo kitachofuata ni picha yake na kama nitaridhika nae basi nitampatia number zangu za simu na picha na pia kuchat nae kwenye skype.
Natumai atakuja siku moja.
 
Hivi love connect imekua kama duka la kununua mapenzi? unachagua bidhaa kwenye shelve? vigezo vyako vyote vimeelekea mwili wa mwanamke, alafu kidogo vya utiivu na unyenyekevu, awe tayari kusilim etc. Hujui kua na yeye ana personality? mbona hujasema vya masomo, hujasema vya interest zake? au sio muhimu katika mahusiano?
Alafu wewe mwenyewe mbona hujasema ukoje?
 
Keshasema yeye mwarabu @Mwali hivyo ana imani hakuna haja ya kutoa sifa zake nyingine, Junaid, komaa mwana utapata unachokipenda:yawn:
 
mi sifa zote ninazzo mpaka nimepitiliza.....bahati mbaya nimeanguka bafuni.....
 
wacha tu....hapo ndo tatizo lilipoanzia.....
Pole sana aisee... nitakuja nikudekeshe kidogo, usitoke kitandani, nakutengenezea uji. lol
Umeona mchumba huyu, unamtaka? Ni mwarabu na anahishi ulaya, the perfect dream. :lol:
 
Pole sana aisee... nitakuja nikudekeshe kidogo, usitoke kitandani, nakutengenezea uji. lol
Umeona mchumba huyu, unamtaka? Ni mwarabu na anahishi ulaya, the perfect dream. :lol:

asante mwaya....mchumba ndio huyu nshampata.....triii mi na yeye mpaka Makah...wallah...
 
Hivi love connect imekua kama duka la kununua mapenzi? unachagua bidhaa kwenye shelve? vigezo vyako vyote vimeelekea mwili wa mwanamke, alafu kidogo vya utiivu na unyenyekevu, awe tayari kusilim etc. Hujui kua na yeye ana personality? mbona hujasema vya masomo, hujasema vya interest zake? au sio muhimu katika mahusiano?
Alafu wewe mwenyewe mbona hujasema ukoje?

Mimi sijali Elimu kabisa, elimu yake haitanisaidia. mimi nahitaji hizo sifa hasa umbo lake liwe hivyo
 
Haya warembo wenye sifa kama hizo wajitokeze mdau anatafuta jiko kama mmnaweza kuwahi kwa mchina mkampatia kijana Junaid
kitu anapenda.
 
Wadada changamkieni dili hilo jamani,nendeni kwa mchina mkarekebishe shape maziwa madogo hips mkorogo wa kikongo mumuopoe muarabu wa manzese anayeishi uk
 
Mwarabu anaishi UK? Kwanini usingesema palestina, pakstani, au siria? We vipi? Au unawatisha wadada na neno UK? Halafu ninyi waarabu tunajua sababu za kutaka mwanamke mwenye ****** makubwa, mna lenu jambo na ****** ya wadada, kwani hapo UK hamna "wenye wowowo". Acha ujinga wewe nenda "friendfinders.com". Au "facebook".
 
Junaid mimi niko interest, wasiliana mimi, nina vigezo vyote hapo. Wewe weka details zako including umri.
 
Wewe mwarabu gani.? maisha yako yote ulioishi uja waona wanadada wenye sifa unazozitaka..? acha upumbavu kwan uwez kumpata girl wa dreams thru JF kwani atakuwa wa kukuchuna tu..
 
Mimi ni kijana mwenzenu naitwa junaid, ni kijana mwenye asili ya kiarabu na ninaishi Uk. natafuta mchumba mwenye sifa hizi, hizi sifa ni muhimu sana maana mwanamke wa ndoto yangu nataka awe hivi :
1 ) mrefu
2)Rangi yoyote
3)kabila lolote
4)Dini awe mwislamu au kama ni mkiristo basi awe tayari kuslimu
5)Umbo - Hapa kwenye umbo ni muhimu sana, maana nataka awe juu mwembamba na mwenye maziwa madogo kisha chini awe na mahipsi hasaaa pia na awe na ma_ta_ko, yaani umbo number 8. Wallah nikimpata huyu nitafurahi sana, naamini wapo wengi sana
6)Awe mpole mvumilivu na mwenye heshima zake na aliyetulia.

Nina mpango wa kuja haraka pale atakapojitokeza kuja kuonana na kupanga maisha, kuhusu pa kuishi atachagua yeye kama ulaya ama africa.

Baada ya mawasiliano ya mwanzo kitachofuata ni picha yake na kama nitaridhika nae basi nitampatia number zangu za simu na picha na pia kuchat nae kwenye skype.
Natumai atakuja siku moja.
Unajua kwasababu technolojia imekua sana siku hizi, unaweza kwenda China wakakutengenezea mdoli mzuuri mwenye kila kitu unachokitaka
 
Mijitu mengine bada sasa nyie wanaume mna comment nini hapa, nimesema natafuta mke, sasa nyie mbn mnanichafulia barza yangu. wanaume hawaruhusiwi kucomment hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom